Year: 2018
Ghasia Nigeria: Watu wauawa katika shambulio la wanamgambo jimboni Borno
Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wenye itikadi kali za dini ya kiislamu wamekivamia kijiji kaskazini mashariki mwa Nigeria, na kuwaua watu kadhaa. Kuna taarifa za kutofautiana kuhusu idadi ya vifo vya watu huko Mailari, katika jimbo la Borno. Kiongozi mmoja wa…
Magazetini Leo, Tarehe 20, 08,2018
Good Morning Mtu wangu wa nguvu !! kutoka DSM Tanzania leo August 20, 2018 nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
SIMBA YABEBA NGAO YA HISANI MWANZA DHIDI YA MTIBWA
Klabu ya Simba imefanikiwa kutwaa Ngao ya Hisani kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza jana. Simba imeibuka na ushindi huo kupitia mabao ya Meddie Kagere aliyefunga…
Tutaendelea Kumkumbuka Kofia Annan
Jana August 18, 2018 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amefariki jana Agosti 18 nchini Uswisi akiwa na umri wa mika 80 baada ya kuugua kwa muda mfupi. Inaelezwa kuwa Annan ambae alikuwa ni Raia wa Ghana…