Month: June 2019
Ubakaji watoto wakubuhu Same
Matukio ya kubakwa watoto wa kike wenye umri chini ya miaka 18 katika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro yanaongezeka licha ya baadhi ya washitakiwa kufungwa jela. Taarifa zinaonyesha kuwa kati ya Januari, mwaka jana hadi Mei mwaka huu, mashauri 34…
Upanuzi Bandari ya Dar kuongeza ufanisi
Serikali inaendelea kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ili kuongeza ufanisi katika kuhudumia shehena kubwa zaidi. Katika maboresho hayo magati 1-7 yanafanyiwa ukarabati pamoja na ujenzi wa gati jipya litakalohudumia meli zenye shehena ya magari. Maboresho hayo ambayo yako chini…
Tunahitaji utulivu mjadala wa bajeti
Alhamisi wiki iliyopita serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha iliwasilisha mapendekezo ya bajeti kuu kwa ajili ya mwaka wa fedha 2019/2020. Bajeti hiyo baada ya kuwasilishwa itajadiliwa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao kwa mujibu…
NINA NDOTO (22)
Kupuuza ubunifu ni kuua ndoto Kila mmoja wetu amezaliwa na ubunifu ndani yake, jambo hili lipo wazi hasa pale tunapowatazama watoto wadogo. Tukiwa watoto tunaweza kufanya mambo mengi na kujaribu vitu vingi. Watoto hutengeneza vitu kwa kutumia vifaa vinavyozunguka…
Dawasa inavyoimarisha miundombinu ya maji
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) imewakosha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam kwa namna inavyotekeleza ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015. Dawasa inatekeleza miradi mikubwa ya maji katika Mkoa wa Dar es…
PSSSF yatumia tril. 1.1/- pensheni
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ndani ya miezi sita umetumia Sh trilioni 1.1 kulipa pensheni za wastaafu. Kiwango hicho kinajumuisha jumla ya Sh. bilioni 880 ambazo wamelipwa wastaafu 10,000 ambao pensheni zao zilisimamishwa katika Mfuko wa PSPF…