Month: August 2019
Kiswahili kimepandishwa hadhi na SADC
Mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Southern African Development Community, kwa Kiingereza, au SADC kwa kifupi), uliyomalizika Dar es Salaam tarehe 18 Agosti, mwaka huu umeidhinisha matumizi ya lugha ya Kiswahili…
Kwanini Bageni anyongwe peke yake kati ya watu 13?
Walioshitakiwa walikuwa 13, SP Christopher Bageni, ACP Abdallah Zombe, ASP Ahmed Makele, PC Noel Leornard, WP 4593 Jane Andrew, CPL Nyangerela Moris, PC Michael Shonza, CPL Abeneth Saro, DC Rashid Mahmoud Lema, CPL Emmanuel Mabura, CPL Felix Sandys Cedrick, CPL…
Ukipoteza muda, muda utakupoteza zaidi
Maisha huwa hayana maana iwapo mwanadamu anaishi tu, siku nenda, siku rudi bila ya kugundua au kujifunza japo jambo moja jipya kila siku. Uamkapo asubuhi, utembeapo barabarani, ulalapo kitandani yafaa ujiulize: ‘Unaishi na mawazo yanayoishi au yaliyokufa?’ Maisha ni kufikiri,…
MAISHA NI MTIHANI (43)
Ukiomba mvua usilalamike kuhusu matope Kulalamika ni mtihani. Unaweza kulalamika kuwa maua aina ya waridi yana miiba au kusifu kuwa miiba ina maua. Kuna mtoto aliyewalalamikia wazazi kuwa hawamnunulii viatu. Aliacha kulalamika alipoona mtu ambaye hana miguu, kuna makundi…
Tusibweteke kwa elimu bure
Julai 3, mwaka 1964 Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alizungumza na watoto katika Ikulu ya Dar es Salaam. Kupitia mazungumzo hayo, alizungumza pia na watoto wote nchini kwa njia ya redio. Aliwaeleza watoto wajibu walionao kwa wakati huo,…
SADC inaweza, twendeni pamoja
Kuundwa kwa Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) miaka 27 iliyopita ni kitendo cha ukombozi kwa Mwafrika. Ni ukombozi wa kisiasa, kiuchumi na kitamaduni. Unamtoa katika unyonge na umaskini na kumpeleka katika uwezo wa kuwa tajiri…