Month: August 2019
Yah: Ugeni umetukumbusha mambo mengi
Japo ni vigumu kukubali maelezo ya sasa kutoka katika kizazi kipya, nina kila sababu ya kuwasimulia maisha halisi ambayo sisi tuliishi kwa wakati wetu, hasa nyakati za nguo moja na sabuni za foleni katika duka la ushirika au la kijiji….
‘Konde Gang’ kuondoka WCB?
Msanii Rajab Abdul Kahali, maarufu kwa jina la ‘Harmonize, hatimaye ameandika rasmi kwa kundi la Wasafi Classic Baby (WCB) akitaka kuvunja mkataba wake na kuanza maisha mengine nje ya lebo hiyo. Akizungumza na runinga ya Wasafi, Ofisa Mtendaji Mkuu wa…
Ona wachezaji TPL wanavyoburuzwa
Wakati Ligi Kuu imeanza rasmi, yapo mambo mengi ambayo yanatakiwa kutazamwa kwa undani na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Nalo ni suala linaloendelea kujirudia kila msimu, ambalo ni tatizo la wachezaji wengi kujikuta wakishindwa kutimiziwa yale yote ambayo wanaahidiwa kupitia…
Kashfa nzito
Serikali ya Rais John Pombe Magufuli imo hatarini kupoteza zaidi ya Sh bilioni 120 kutokana na mradi wa kukopesha matreka kwa wakulima ambao mkataba uliingiwa siku 8 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kugeuka ‘kichomi’, uchunguzi wa JAMHURI umebaini….
Wanavyobebwa walioghushi Leseni ya Rais
Kudhani kwamba Lazaro Nyalandu hayumo ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii ni kujidanganya. Bado yumo. Mtandao wake upo, na unafanya kazi kweli kweli. Baadhi ya waliokuwa wasaidizi wake leo ndio wenye uamuzi wa nani anyang’anywe, au nani apewe kitalu….
Serikali kuamua mazito Lyamungo AMCOS
Serikali imesema itachukua uamuzi mgumu dhidi ya Chama cha Ushirika wa Mazao cha Lyamungo AMCOS kutokana na chama hicho kukaidi maagizo yake kuhusu kuondoa zuio mahakamani linalohusiana na shamba la kahawa la Lyamungo. Shamba hilo limekuwa kwenye mgogoro usiokwisha kwa…