Month: August 2019
Ndugu Rais tulipewa Julius Nyerere lakini hatukumjua aliyetupa
Ndugu Rais, imeandikwa kuwa Yesu Kristo kabla ya kuondoka, aliwaambia wanafunzi wake, “Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu kamwe hayatapita!’’ Miaka zaidi ya 2000 imepita tangu kifo chake, lakini ulimwengu unashuhudia maneno yake yangali yamesimama vilevile nukta kwa mkato…
‘Rais, pensheni yangu Brigedia Jenerali ni 100,000 tu’
Sehemu iliyopita, mwandishi alieleza kuwa kwa mujibu wa sheria ya pensheni, wakongwe wanalipwa fedha kidogo mno. Akasema wakongwe wote wanarundikwa katika kapu au fungu moja la malipo ya uzeeni – na wote wanalipwa Sh100,000 (laki moja) tu kila mwezi bila…
Afrika inahitaji mabingwa wa kusaka umoja
Mwaka 1994 akiwa mgeni rasmi kwenye sherehe iliyofanyika Arusha ya kuvunja Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), Mwalimu Julius Nyerere alitoa ujumbe ambao unafaa kurudiwa. Alisema waasisi wa OAU waliokutana jijini Cairo; Mei 1964 walijipangia…
Kuomba kutambuliwa kama mzazi wa mtoto
Wako watu ni wazazi na wamezaa lakini wameyimwa watoto. Zipo sababu nyingi katika jambo hili. Matukio ya namna hii hayawatokei sana wanawake bali wanaume. Ni rahisi na kawaida mno mwanamume kuambiwa na mzazi mwenzake kuwa huyu mtoto si wako hata …
Gamboshi: Mwisho wa dunia (11)
Wiki iliyopita katika sehemu ya 10 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Nilitembea kidogo kisha nikajikuta niko kwenye himaya ya watu wa ajabu. Sielewi sawa sawa kama hawa walikuwa ni watu au la. Nilipelekwa kwenye ghorofa moja na huko nikakuta…
Mbalamwezi alivyoagwa kupitia mitandao ya kijamii
Baada ya kifo cha aliyekuwa msanii nyota wa Bongo Fleva, maarufu kwa jina la Mbalamwezi aliyekuwa anaunda kundi la The Mafik, mastaa mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva nchini wametumia mitandao yao ya kijamii kama Instagram kumuaga nyota mwenzao huyo…