JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: March 2020

Mtoto asipowatunza wazazi apewe ‘polisi oda’

“Mheshimiwa Mwenyekiti, usipopeleka mwanao shule, utashitakiwa. Lakini mtoto akipata kazi, wewe hakutumii hela, hauwezi kumshitaki. Hauruhusiwi kwenda polisi kulalamika, hauruhusiwi kwenda dawati la jamii. Haiwezekani. “Mzazi anaposomesha mtoto wake, anapomwomba pesa au anapopiga simu, watoto hawapokei. Mheshimiwa Mwenyekiti, tunaomba Wizara…

Yah: Naamini corona nayo itapita

Nimejifungia hapa ndani wiki ya tatu sasa, ninadhani kwa sababu ninaelewa kauli za viongozi wangu juu ya afya na kujikinga dhidi ya maradhi haya yaliyojitokeza nchini.  Tumeambiwa kabisa wazee tuko kwenye hatari zaidi ya kuumwa na kupoteza maisha kama tukishikwa…

Mafanikio katika akili yangu (24)

Toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Akakumbuka alivyokutana naye alivyomwangalia kwa macho ya dharau na maneno machafu, hii ilikuwa baada ya Noel kumwambia yeye ni mwandishi. “Wewe mwandishi gani? Huoni waandishi wengine wanapendeza?’’ alizungumza binti yule kwa madoido na kujikweza…

Ni haki yako kuijua Sheria ya Mirathi (2)

Karibu katika safu hii mahususi kwa ajili ya kukumbushana na kuelimishana mambo kadhaa yahusuyo sheria mbalimbali, kwa sasa tukiitazama kwa undani Sheria ya Mirathi. Kuifahamu vema sheria hii kutakupa nafasi ya kuepukana na mianya ya uonevu iliyokithiri katika baadhi ya…

Ananga vituo vya redio

Imedaiwa kwamba kuporomoka kwa muziki wa dansi kumesababishwa na baadhi ya vituo vya redio zilizomo humu nchini kutokupiga muziki huo mara kwa mara. Madai hayo yametolewa na mwimbaji nguli, Khadija Mnoga ‘Kimobitel’, ambaye ametamka kuwa nyimbo za bendi za zamani…

Yanga, GSM na corona

Mashabiki wa Yanga wanalia. Wengi wanazungumza mambo mengi hasa katika kile kinachoendelea ndani ya klabu hiyo kwa sasa. Kisa ni sakata la klabu na Kampuni ya GSM ambayo iliamua ‘kujitolea’ kuwasaidia. Katika kipindi hiki ambacho dunia imejaa hofu ya virusi…