Vigogo 5 wasimamishwa Dar
DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Vigogo watano wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa ufisadi wa mamilioni ya shilingi. Tayari Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kufanya ukaguzi huo maalumu kubaini upotevu wa fedha hizo za mapato yanayokusanywa kupitia mashine za POS….