Year: 2022
Asante Rais Samia, Waziri Nape
Na Deodatus Balile, Zanzibar Wiki iliyopita imekuwa wiki ya furaha kwa tasnia ya habari. Ni wiki ya furaha baada ya Alhamisi iliyopita Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, kutangaza kuyafungulia na kuyapa leseni magazeti manne; Mwanahalisi,…
Profesa Jay anastahili heshima hii
Dar es Salaam Na Christopher Msekena Wiki chache zilizopita zimekuwa mbaya kwa rapa gwiji nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, ambaye amekuwa akipatiwa matibabu ya maradhi yanayomsumbua katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Licha ya kuwapo kwa ufaragha wa familia kuhusu kinachomsumbua…
Kocha ‘rastafari’ aliyeibeba Senegal
*Miaka 20 tangu akose penalti fainali dhidi ya Cameroon Dakar, Senegal Aliou Cissé anasimama na kutazama pande zote za Stade du 26 Mars, moja ya viwanja vya soka vya Bamako nchini Mali, kisha anakimbia na kupiga penalti muhimu ya tano…
Maboresho yatakavyochochea ukuaji sekta ya mawasiliano
• Visimbuzi vyote sasa ruksa kubeba chaneli za bila kulipia • Chaneli za televisheni za kulipia ruksa kubeba matangazo • Punguzo la ada ya leseni kuleta neema kwa watoa huduma, watumiaji Dodoma Na Mwandishi Wetu Katika kuboresha mazingira ya utoaji…
‘Wanaobeza uchifu hawaijui Tanzania’
Bagamoyo Na Mwandishi Wetu Kwa Mtanzania halisi anayebeza hadhi za machifu au watemi atakuwa mgeni au hajaisoma vizuri historia ya Tanganyika ya kale kuelekea uhuru na mchango uliotolewa na machifu katika kukijenga Chama cha ukombozi cha TANU. Kuwapuuza machifu hao…
Siku Boban alipogomea mazoezi
London Na Ezekiel Kamwaga Hapo zamani za kale, Simba iliwahi kuwa na mchezaji aliyeitwa Haruna Moshi ‘Boban’. Ni miongoni mwa wachezaji wakubwa wa Tanzania niliowahi kuwashuhudia kwenye ubora wao. Akaenda Sweden kucheza Ligi Kuu. Riziki ikaisha, akarudi Tanzania kuchezea Simba….