JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Rais Samia:Tuutazame Mwaka Mpya kwa matumaini makubwa mbele yetu

SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WATANZANIA – TAREHE 31 DESEMBA 2022 Ndugu Wananchi na Watanzania wenzangu; NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA!  Nianze kwa…

Azam wafunga mwaka kwa kishindo kwa kuitandika Mbeya City

Mabao ya Azam FC yamefungwa na Abdul Suleiman ‘Sopu’ mawili dakika ya 22 na 54, Mzimbabwe Prince Dube dakika ya 51, Mkenya Kenneth Muguna dakika ya 56, Iddi Suleiman ‘Nado’ dakika ya 71 na Cleophace Mkandala dakika ya 90 na…

Wakazi Arusha wahimizwa kutunza amani ambayo ndiyo kitovu cha utalii

Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Wananchi wa jiji la Arusha wamehimizwa kutunza amani na utilivu wa jiji hilo ambalo Lina sifa ya kupokea wageni wengi kutoka ndani na nje ya nchi ikiwa ni sifa ya kuwa na amani…

Papa Benedict wa XVI afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 95

Papa Benedict wa XVI amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika makazi yake huko Vatican Roma. Vatican imetangaza kifo hicho kupitia mitandao ya kijamii leo Desemba 31, 2022 na kusema kuwa taarifa na ufafanuzi kamili utatolewa hapo baadaye….

Morrison na Saido wanavyotuachia maswali magumu kuhusu kisinda na wachambuzi

Nimemsikia mtu anailaumu Yanga kwanini walimuacha Saido na kumsajili Kisinda, kwanini hasemi walimuacha Saido na kumsajili Aziz Ki? Kwani Saido amejiunga na Simba akitokea Yanga au Geita Gold? Kwanini hawalaumiwi Geita kwa kumuacha Saido lakini inalaumiwa Yanga? Walitaka Saido akijiunga…

Simba wafunga mwaka kwa kishindo,yaipiga wiki Prison

WENYEJI, Simba SC wamefunga mwaka vizuri baada ya ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mshambuliaji na Nahodha, John Bocco amefunga mabao…