Month: September 2023
Uwekezaji NSSF waongezeka kwa asilimia 111 na kufikia trilioni 7.15/-
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Thamani ya uwekezaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), imeongezeka kwa asilimia 111 kutoka Sh trilioni 3.4 Machi 2021 hadi kufikia Sh trilioni 7.15 Juni 30 mwaka 2023. Kwa mujibu wa mfuko huo ongezeko la…
Waziri Mkuu akaribisha wawekezaji kutoka China
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia sasa China imewekeza zaidi ya dola bilioni 10 katika maeneo mbalimbali nchini na ametumia fursa hiyo kuwakaribisha wawekezaji wengine zaidi. Amesema kuwa takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zinaonesha kuwa kuna zaidi…
Dar yapatiwa mafunzo ya kukabiliana na athari za El Nino
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Viongozi na wataalam wa Mkoa wa Dar es Salaam leo Septemba 25, 2023 wameanza mafunzo ya siku mbili ya kujiweka sawa kukabiliana na athari zinazo weza kutokea endapo mvua kubwa za El-Nino zitanyesha siku za hivi…
Majaliwa azindua mfumo wa kielektroniki wa kuhudumia wawekezaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mifumo na miuondombinu ya mifumo ili kuboresha ufanisi wa utoaji huduma, utendaji kazi na kupunguza urasimu unaokwamisha utekelezaji wa…
Kyogo awafunda maofisa wanafunzi awapata mbinu ya kupunguza malalamiko katika jamii
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi – Dar es Salaam Jeshi la Polisi kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii Dawati la Ushirikishwaji wa jamii Makao Makuu ya Jeshi la Polisi imetoa mafunzo kwa kundi la maofisa na Wakaguzi Wasaidizi wa…