JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2023

Rais Samia azindua tovuti ya hifadhi nyaraka za Dkt Salim, awapa viongozi mtihani

Na Wilson Malima JAMHURI MEDIA Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kuwa na utamaduni wa kutunza kumbukumbu za maisha yao kwa manufaa na mchango kwa vizazi vya sasa na vya…

Majaliwa awatwisha mzigo MADC usimamizi wa mashine EFD pamoja na mabaraza ya biashara

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ,ametoa agizo kwa wakuu wa wilaya nchini kuhakikisha wanashirikiana na mamlaka ya mapato (TRA) kusimamia na kufanya ukaguzi wa mashine za EFD endapo ni halisi na sio za maghumashi ili kuepusha…

Asilimia 77.3 ya Vijiji Kagera vyaunganishwa na umeme wa REA

Na Lilian Lundo na Veronica Simba, JamhuriMedia, Kagera Vijiji 512 kati ya Vijiji 662 vya Mkoa wa Kagera ambayo ni sawa na asilimia 77.3 ya vijiji vya mkoa huo vimepata huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini…

Mbunge Prof. Muhongo na wadau wafanikisha harambee ujenzi wa Etaro sekondari kisiwa cha Rukuba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Musoma Vijijini MBUNGE wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sosepter Muhongo kwa kushirikiana na viongozi wakiwemo wakuu wa Wilaya ya Musoma na Halmashauri yake (Musoma DC), waemeendesha harambee ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Etaro, ambayo…