JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: September 2023

Watatu wafariki kwenye mapigano ya wakulima na wafugaji Tunduru

Na Steven Augustino,JamhuriMedia,Tunduru WATU watatu wakazi wa vijiji vya Matekwe,Wilaya ya Nachingwea,mkoani Lindi na Tinginya Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma,wamefariki dunia katika mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyozuka katika maeneo hayo. Kufutia hali hiyo diwani wa Kata ya Tinginya…

CTI yahimiza wenye viwanda washiriki maonyesho ya viwanda Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya  Biashara (TanTrade), wameandaa maonyesho makubwa ya kimataifa ya viwanda ambapo zaidi ya viwanda 200 vya ndani na nje ya nchi vitashiriki maonyesho hayo….

Mwalimu ashikiliwa kwa tuhuma za kuwaingizia wanafunzi vidole sehemu za siri

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mwalimu wa shule ya msingi Mwembetogwa iliyopo Mtila Kata ya Matola Halmashauri ya Mji wa Njombe,kwa tuhuma za kuwaingizia vidole sehemu za siri na kuharibu usichana wao. Kamishna Msaidizi…

Rc Mara atishia kutumia JKT kuhamisha halmashauri

Na Raphael Okello, JamhuriMedia,Musoma MKUU wa Mkoa wa Mara, Said Mtanda amewataka watendaji wakuu katika halmashauri za Wilaya ya Musoma na Bunda kuhamia katika majengo ya ofisi zao mpya ifikapo Oktoba 20, mwaka huu . Mtanda ametoa agizo hilo Septemba…

Ukweli kuhusu uzazi wa mpango ushirikishe wanaume kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi

Na Stella Aron, JamhuriMedia Mfumo dume ni kikwazo kimojawapo katika suala la ushiriki wa afya ya uzazi na kuchangia baadhi ya wanawake kutumia njia ya uzazi wa mpango kwa njia ya kificho na usiri. Mecy Haule (46) (si jina lake…