JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: December 2023

Waziri Kairuki akagua ujenzi wa mradi wa nyumba Msomera

• Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia inalenga kuboresha maisha ya wananchi Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Handeni Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) amekagua mradi wa ujenzi wa nyumba katika kijiji cha Msomera Wilayani Handeni kwa ajili ya…

Polisi wapiga marufuku upigaji fataki Arusha, wanaotaka wakachukue vibali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema Kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya, Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linao wajibu kuhakikisha wananchi wanasherehekea kwa amani…

Polisi kuulinda mkoa wa Arusha kidijitali, wafunga cctv kamera

Na Abel Paul, Jeshi la Polisi- Arusha Jeshi la Polisi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linakwenda na mifumo ya kisasa na mabadiliko ya kitekinolojia ikizingatiwa mji huo ni kitovu cha utalii hapa nchini huku mkoa huo ukipokea…

Wito kutambua miili ya marehemu waliofariki kwa ajali Zambia

Mamlaka za Jamhuri ya Zambia zilitoa taarifa kuhusu ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria aina ya Volvo la Kampuni ya Mukombe Luxury lenye namba za usajili DK72 HH GP linalofanya safari kati ya Afrika Kusini na Tanzania lililogongana uso…

Wazazi tuwajibike kwenye malezi ya watoto wetu – Dk Biteko

📌Ashiriki misa Takatifu Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima- Ushirombo 📌Awataka waumini kuweka alama wawapo duniani 📌Atoa wito kumuombea Rais na Serikali kuleta Maendeleo 📌Atoa salamu za mwaka mpya, na kuwataka Watanzania kudumisha Amani na Upendo Na Mwandishi Wetu,…