Year: 2024
Dk Yonaz : Hali ya chakula nchini inaendelea kuimarika
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Mwanza KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema hali ya lishe nchini imeendelea kuimarika kwa kwa kuzingatia Takwimu zinaonesha kupungua kwa viwango vya utapiamlo kwa…
Wawili wauawa kwa kunyongwa na kutobolewa macho Tanga
Wau wawili wameuwawa kwa kunyongwa na kamba kisha kutobolewa macho nyumbani kwao katika eneo la barabara ya nne jijini Tanga, huku baba mwenye nyumba Alii Mohamed Bagidad (60) hajulikani alipo. Watu hao wamefahamika kama Saira Ali Mohammed (50) ambaye ni…
Bashe atoa saa 24 kwa Kampuni ya RV kulipa madeni ya wakulima
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe ametoa saa 24 kwa kampuni ya RV inayonunua mazao Masasi mkoani Lindi kulipa madeni ya wakulima huku akiagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwashikilia viongozi wastaafu wa ushirika ambao wamehusika na…
Bashe acharuka ataka mabadiliko vyama vya ushirika
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tandahimba Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amevitaja vyama vya ushirika nchini kubadilika ili wakulima wazidi kunufaika na ushirika huo. Bashe ametoa kauli hiyo leo Oktoba 2, mara baada ya kuzindua kiwanda cha kubangua korosho kinachosimamiwa na Chama…
JKT Queens yafanya mauaji Ngao ya Jamii
Klabu ya JKT Queens imetinga fainali ya Ngao ya Jamii wanawake 2024 baada ya kuikanda Ceasia Queens mabao 7-0. Mchezo huo wa kwanza wa nusu fainali Ngao ya Jamii wanawake umefanyika wenye uwanja wa KCM, Dar es Salaam. Kwa ushindi…
Tanzania kuandaa mashindano akili mnemba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TANZANIA inatarajia kuwa nchi ya kwanza Afrika kuandaa uzinduzi wa mashindano ya Akili Mnemba na roboti ya vijana wa Afrika katika kongamano la nane la Tehama litakalowakutanisha wataalamu mbalimbali wa sekta hiyo kutoka…