JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Samia afungua jengo la Halmashauri ya Mbinga Vijijini, awapongeza viongozi kwa usimamizi

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Mbinga Rais  wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk.Samia Suluhu  Hassan  ameridhishwa na ujenzi wa Jengo la kisasa la ghorofa moja la Halmashauri ya wilaya ya  Mbinga  ambalo limejengwa kwa shilingi bilioni 3.3 hadi kukamilika kwake….

Dk Biteko azitaa wizara, taasisi na wakala serikalini kutenga bajeti ya kutosha SHIMIWI

 Asema sio wakati wa kutoa visingizio  Wasiotuma washiriki watakiwa kujieleza  SHIMIWI yalia na kushuka idadi ya vilabu vinavyoshiriki Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Wizara, Taasisi, Mashirika, wakala  za Serikali zimetakiwa kutenga Bajeti ya kutosha kwa ajili…

REA kusambaza umeme vitongoji 135 mkoani Pwani, Kunenge amshukuru Rais Samia

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umeanza usambazaji wa umeme katika vitongoji awamu ya pili (HEP II) ambapo utapeleka umeme kwenye vitongoji 135 kwenye majimbo tisa, mkoani Pwani kwa gharama ya sh.bilioni 14.983.7. Mradi huu utafikia…

Bilioni 15 kusambaza umeme vitongojini Pwani

📌VITONGOJI 135 NDANI YA MAJIMBO 9 KUNUFAIKA 📌RC PWANI AMSHUKURU RAIS SAMIA Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwanni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Shilingi…

Ruto ataka dunia iwekeze kwenye nishati salama Afrika

Viongozi wa dunia wametoa wito wa uwekezaji mkubwa zaidi kwenye nishati jadidifu ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza kwenye mkutano wa kilele wa nishati jadidifu siku ya Jumanne (Septemba 24), Rais William Ruto wa Kenya alisema ulimwengu…