JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Makonda abaini upotevu wa bil 1.3/- sekondari ya wasichana Longido

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amebaini upotevu wa fedha zaidi ya Sh bilioni 1. 3 katika shule ya Sekondari ya Wasichana Longido iliyopo wilayani Longido. Fedha hizo zimepotea kutokana na ulipaji wa malipo…

Mchezo wa raga waongeza mahusiano kati ya Tanzania na Ufaransa

Na Lookman Miraji,JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya michezo kutoka nchini Ufaransa ya Sergio Mat imekabidhi rasmi vifaa vya michezo kwa timu ya taifa ya mchezo wa raga nchini. Hafla ya tukio hilo limefanyika Septemba18 katika…

Serikali yaweka bilioni 81 ujenzi bandari ya Mbambabay

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma WAKATI Rais Samia akitarajiwa kuwasili mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi imeelezwa kuwa serikali imewekeza kiasi cha shilingi bilioni 81 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bandari ya kisasa ya Mbambabay Wilayani…

Walimu, wadau wa wapata mafunzo matumizi fasaha ya lugha ya kiswahili

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Walimu wa Kiswahili na wadau hapa chini wametakiwa kuona umuhimu wa lugha ya kiswahili katika kuimarisha utamaduni na elimu jambo ambalo litachangia jamii kukuza lugha ya kiswahili, uzalendo na uelewa wa historia ya nchi yao…