JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Kapinga ashuhudia fainali Doto Cup 2024

Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga Septemba 17, 2024 ameshuhudia fainali ya mashindano ya Doto Cup 2024 ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa. Mashindano hayo yameandaliwa na Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge wa…

Dk Biteko mgeni rasmi hafla ya uwekaji jiwe la msingi mradi wa kuzalisha umeme mto Malagarasi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto M. Biteko, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme katika Mto Malagarasi wa megawati 49.5. Kwa mujibu wa…

Vikundi vya wajasiriamalia vyanufaika na mitaji wezeshi ya CRDB mil. 101.6/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ludewa โ€ข Waziri Chana afungua mafunzo kuwawezesha kukuza mitaji Vikundi nane vya Wajasiriamali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa vimenufaika na mtaji wezeshi kutoka Benki ya CRDB kiasi cha shilingi milioni 101.6 kwa ajili ya kuimarisha…

Rais Samia amedhamiria kuifungua Kigoma – Dk Biteko

๐Ÿ“ŒBarabara ya Kakonko hadi mpaka wa Burundi kujengwa kwa lami ๐Ÿ“Œ Atembelea Hospitali ya Wilaya Kakonko ๐Ÿ“ŒAhimiza wananchi kuendelea kufanyakazi kwa bidii ๐Ÿ“Œ Kakonko yazalisha chakula ziada tani 81,000 Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu…

EWURA : Marufuku kuunganisha umeme majumbani kama huna leseni

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi imewataka mafundi na wataalamu wa umeme kufanya kazi zao kwa weledi mkubwa ili kuepusha hitilafu zinazoweza kusababisha athari na uharibifu. Rai hiyo…

Mashindano KNK Cup 2024 yahitimishwa, mabingwa wa Bukombe, Karagwe kuchuana

๐Ÿ“Œ Mshindi wa Kwanza anyakua kitita cha milioni 5 ๐Ÿ“Œ Simba, Yanga Wateka Vijana wenye Vipaji Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe .Dkt….