Year: 2024
Bashe: Mpina uwe na shukrani kwa Serikali, chezea sekta nyingine si kilimo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Igunga Waziri wa Kilimo Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa Serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa. Amesema chokochoko za uongo za mbunge…
Jafo aipa tano TPA uboreshaji miundombinu ya kutolea huduma katika bandari zake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia meli na…
TPA, WMA watakiwa kusimamia kikamilifu ‘Flow Meter’
Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) kuhakikisha wanasimamia kikamilifu ‘Flow Meter’ inayotumika kupima kiwango cha mafuta yanayoingia nchini ili Serikali…
Waziri Aweso amtumbua mkurugenzi ‘mlevi’ Chato
Na Isri Mohamed Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ametengua nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Chato (CHAWASSA), Mhandisi Mari Misango, kwa tuhuma za utovu wa nidhamu kazini. Waziri Aweso ametoa uamuzi huo akiwa kwenye…
Lissu ataka vyombo vya usalama vichunguzwe na visafishwe
Isri Mohamed MAKAMU mwenyekiti Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema ipo haja ya vyombo vya usalama vya kimataifa kuja kuvichunguza vyombo vya usalama vya hapa nchini ili kubaini chanzo cha matukio ya utekaji na mauaji…
Iran yawekewa vikwazo madai ya upelekaji makombora Urusi
Mataifa makubwa ya magahribi yametangaza orodha mpya ya vikwazo dhidi ya Iran wanayoituhumu kuipatia Urusi makombora ya masafa marefu ambayo inaaminika Moscow itayatumia dhidi ya Ukraine. Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimetangaza kuifuta mikataba yote ya sekta ya anga na jamhuri…