JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Mzee Mwinyi alijiuzulu akamsaidia Nyerere, Masauni msaidie Rais Samia

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita nchi yetu ilipata mshituko. Si mshituko mdogo, bali wenye kishindo. Katika kipindi ambacho Rais Samia Suluhu Hassan anaponya vidonda vikubwa vilivyotokana na utawala wa Awamu ya Tano, ambapo Tanzania iliingia katika…

DCEA yakamata watu watano Dar wakiwa na Kilogramu 1,815 za Skanka

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imewakamata watu watano wakiwa na kilogramu 1,815 za dawa za kulevya aina ya Skanka. Watu hao wamekamatwa maeneo ya Luguruni Mbezi na Magomeni…

Mshtakiwa akwamisha kesi kwa madai kuwa mgonjwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya tuhuma ya kujeruhi na kutoa lugha ya matusi baada ya kudaiwa mahakamani hapo kuwa mke wa mshtakiwa Bharat Nathwan (57),…

Polisi Kinondoni waadhimisha miaka 60 ya Polisi Tanzania

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Wilaya ya Kinondoni limeadhimisha sherehe za miaka 60 ya Kesshi la polisi Tanzania. Sherehe hizo zimeadhimishwa Septemba 9,2024 katika fukwe maarufu za Coco abeach, Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeadhimishwa…

Mbio za Al Irshaad zafana Dar

Na Lookman Miraji,JamhuriMedia, Dar es Salaam Shule ya kimataifa ya Al IRSHAAD kwa kushirikiana na wadau nchini wamefanikiwa kuwezesha mbio ambazo zimelenga kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalumu. Mbio hizo zijulikanazo kama Al Irshaad Marathon zimefanyika asubuhi ya jana Septemba 8…

Serikali kutumia ndege kuzuia uvuvi haramu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS) zinakabiliwa na changamoto kadhaa zikiwemo ongezeko a plastiki baharini na uvuvi haramu ambapo…