Year: 2024
Azam FC wamtimua kocha Dabo na wasaidizi wake
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KLABU ya Azam FC leo Septemba 03, imetangaza kuwafungashia virago Kocha wao Mkuu, Youssouph Dabo na wasaidizi wake wa benchi la ufundi aliokuja nao kufuatia matokeo mabaya ya timu. Azam FC chini ya…
Israel Mwenda : Kwa kifupi sina timu
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam ALIYEKUWA beki wa Simba msimu uliopita, Israel Patrick Mwenda, ambaye msimu huu amesajiliwa na klabu ya Singida Black Stars ameibuka na kudai kuwa kwa sasa hana timu licha ya kudaiwa kupokea ada ya…
Uingereza yasitisha baadhi ya mauzo ya silaha kwa Israel
Uingereza imesitisha baadhi ya mauzo ya silaha kwa Israel, ikisema kuna “hatari ya wazi” vifaa hivyo vinaweza kutumika kufanya ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa. Waziri wa Mambo ya Nje David Lammy alisema Uingereza itasimamisha leseni 30 kati ya 350…
DRC: Watu 129 wameuawa katika jaribio la kutoroka gerezani
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema kuwa takribani watu 129 waliuawa walipokuwa wakijaribu kutoroka katika gereza kuu la Makala katika mji mkuu Kinshasa siku ya Jumapili jioni, na kuongeza kuwa hali sasa imedhibitiwa, Shirika la habari la Reuters…
Dhambi ya kuiua Ngorongoro
Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kwa miaka kadhaa nimeandika mengi kuhusu uhifadhi, hasa eneo la Ngorongoro ambako kuna Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), na Pori la Akiba Pololeti (Loliondo). Mambo yanayoendelea katika eneo hili yanahitaji…
Mafanikio ya kiuchumi Indonesia yaihamasisha Tanzania kujifunza
Na Mwandishi Maalum Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mageuzi ya kiuchumi ya Indonesia katika sekta mbalimbali kama vile uchimbaji wa mafuta na gesi, kilimo na viwanda vimeiwezesha nchi hiyo kuwa nafasi…