JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Rais Samia awasili Arusha akitokea Kenya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mkoani Kilimanjaro tayari kwa kuelekea mkoani Arusha ambapo ni mgeni rasmi kwenye Ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti…

Masauni, Jeshi la Polisi wajadili amani

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amefanya kikao maalumu na uongozi wa juu wa Jeshi la Polisi nchini kujadili usalama na amani ya nchi. Kikao hicho, kilichofanyika jijini Dodoma, kililenga kujadili na kutathmini matukio ya kihalifu…

Dk Ndunguile ajinadi Mkutano Mkuu wa 74 wa WHO

Mgombea nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile akijinadi mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 74 wa WHO leo Agosti 27, 2024 unaofanyika katika Jiji la Brazzaville nchini Congo. Dkt….

Dk Mpango awaomba NMB kueneza elimu ya bima kwa watumiaji vyombo vya moto

Mwandishi Wetu,Dodoma MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Philip Mpango ameisihi benki ya NMB kuwafikia watu wengi zaidi kwa ajili ya kuwapa elimu ya Bima hasa waendeshaji na watumiaji wa vyombo vya moto. Dk Mpango ametoa…

Majengo ya Serikali yazingatie hudua za dharura

Adeladius Makwega – Mwanza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini ndugu Methusela Ntonda amesema kuwa majengo yote ya serikali ambayo yanajengwa na yatakaliwa na watu wengi kama vile mabweni yanatakiwa kuzingatia kuwekwa huduma za dharula kwani…

Katambi: Serikali itaendelea kuongeza kasi kutatua migogoro ya kazi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu) Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuongeza kasi ya kutatua migogoro, kusogeza huduma karibu na wafanyakazi na waajiri kupitia Tume inayotembea yaani…