JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

TMA, waandishi wajadili namna ya kufikisha taarifa za utabiri mvua msimu wa vuli

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imekutana na waandishi wa habari kujadili namna bora ya kuwafikishia habari wananchi juu utabiri wa mvua za msimu wa vuli unaotarajiwa kuanza mwezi Oktoba mpaka mwezi…

TAWIDO : Yawaomba wadau mbalimbali kuunganisha nguvu ili kudhibiti vitendo

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia wanawake, wasichana na watoto Tanzania Women Initiative for development organization ( TAWIDO) limetoa wito kwa Mamlaka za kiserikali na zisizo za kiserikali…

Uwepo wa TAWA waongeza hadhi ya tamasha la Kizimkazi

Na Beatus Maganja,JamuhuriMedia, Zanzibar Mtangazaji nguli, na mwandishi wa habari mashuhuri Africa Mashariki na Kati aliyekuwa akitangaza kipindi cha Dira ya Dunia katika Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ambaye kwasasa anafanya kazi na Redio/TV ya Crown FM/TV iliyopo nchini,…

Baraza la Madiwani Kibaha Mji lamuomba Rais Samia kuendeleza ardhi ya Shirika la Elimu⁸

Na Victor Masangu, JamhuriMedia, Kibaha Baraza la Madiwani katika  Halmashauri ya mji Kibaha limemuomba Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwapatia baadhi ya eneo la ardhi ambayo inamilikiwa na shirika la elimu Kibaha ili waweze kuiendeleza katika shughuli mbali mbali za kiuchumi…

Dola milioni 18.5 kudhibiti Mpox

Shirika la Umoja wa Mataifa la Wahamiaji (IOM), limeomba msaada wa dola milioni 18.5 kwa ajili ya kutoa huduma za afya kwa watu walioathiriwa na mripuko wa homa ya Mpox Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mkurugenzi Mkuu wa IOM,…

Zanzibar kuweka mkazo zao la mwani

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kuweka mkazo kwenye sekta ya mwani ili kuzalisha bidhaa zenye ubora na kuzipatia soko la uhakika. Dk Mwinyi amesema hayo leo Agosti 21, Ikulu Zanzibar…