Year: 2024
Dk Mpango ashiriki kilele cha Wiki ya Mwananchi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa jezi yake na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said wakati aliposhiriki katika Tamasha la Klabu ya Yanga la kilele cha Wiki ya Mwananchi lililofanyika katika Uwanja…
Yanga yailamba Red Arrows 2 -1 mchezo wa kirafiki
Timu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa kirafiki wa kuhitimisha Tamasha la Kilele ya wiki ya Mwananchi katika mchezo uliopigwa Agosti 4, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa,…
Rais Samia azungumza na wakazi wa Mikumi
Sehemu ya Wakazi wa eneo la Mikumi Kona wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye yupo ziarani mkoani Morogoro tarehe 4 Agosti, 2024. Rais wa Jamhuri ya…
Dk Mpango asafiri kwa treni kushiriki Yanga Day
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wakiwasili katika Stesheni ya Treni ya Jijini Dar es Salaam mara baada ya kusafiri kutoka Dodoma kuelekea Dar es salaam kwa…