default
 default

Sehemu ya Wakazi wa eneo la Mikumi Kona wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye yupo ziarani mkoani Morogoro tarehe 4 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wakazi wa eneo la Mikumi Kona akiwa njiani kuelekea kwenye Ruaha- Kilombero ambapo atafungua Daraja la Ruaha tarehe 4 Agosti, 2024.

Please follow and like us:
Pin Share