JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2024

Bil.1.9/- zimetumika matengenezo barabara zilizoathiriwa na mvua Shinyanga – Eng. Joel

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt samia Suluhu Hassan imetoa fedha shilingi Bilioni 1.9 kwa ajili ya kushughulikia barabara zilizoathiriwa na Mafuriko/mvua za Elnino kwa Mkoa wa Shinyanga. Fedha hizo…

Serikali mpya ya muungano ya Afrika Kusini yatangazwa

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza serikali mpya ya mseto, baada ya chama chake tawala cha African National Congress (ANC) kupoteza wingi wa wabunge katika uchaguzi wa mwezi Mei. Alisema “serikali ya umoja wa kitaifa… haijawahi kutokea katika historia…

Ruto: Sina hatia na vifo vya waandamanaji

Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa “hana hatia” na vifo vya waandamanaji vilivyotokea mapema wiki iliyopita katika maandamano ya kuipinga serikali yake. Ruto ametoa kauli hiyo wakati mamia ya watu wakikusanyika jana katika mji mkuu wa Nairobi kuwakumbuka watu…

Rais wa Msumbiji kufanya ziara ya siku nne Tanzania, kufungua maonyesho Sabasaba

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania inatarajiwa kupokea ugeni wa Rais wa Msumbiji Philip Jacinto Nyusi ambaye atawasili kwa ziara yake ya siku nne kuanzia Julai 1hadi 4 ,2024 na ndiye mgeni rasmi atakayefungua maonyesho ya 48 ya biashara…

Mchungaji Peter Msigwa ajiunga na CCM; Chadema wapata pigo zito

Na Mwandishi wetu -Jamuhuri Media Dar es Salaam Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na chama cha Mapinduzi CCM Mchungaji Peter Msigwa ametambulishwa leo Juni…