Na Mwandishi wetu -Jamuhuri Media Dar es Salaam

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na chama cha Mapinduzi CCM

Mchungaji Peter Msigwa ametambulishwa leo Juni 30,2024 katika kikao cha Kamagi kuu ya Halamshauri kuu CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt Samia Suluhu Hassan