Sehemu ya wananchi wa Mbamba Bay mkoani Ruvuma waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 21 Septemba, 2025.