Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa tayari amewasili kwenye viwanja vya shule ya sekondari Ushirombo kusherehekea siku ya Mwalimu- Bukombe.

Mhe. Kassim Majaliwa ambaye ni mgeni rasmi katika siku ya mwalimu – Bukombe amewasili katika viwanja hivi akiambatana na mgombea Ubunge jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko.

Huu unakuwa msimu wa sita wa Maadhimisho ya siku ya mwalimu – Bukombe tangu yalipoanzishwa rasmi.