Maelfu ya wananchi wa Mwanza wamempokea Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, na kumpa salamu zao ya kwamba wamejipanga vema na wapo tayari kumpokea Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป leo tarehe 08 Oktoba 2025.

Dkt. Samia atanadi Ilani ya CCM (2025/30) , Sera na Ahadi zake pamoja na kuomba kura katika kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29.