Rais Samia akikata keki baada ya kuongoza zoezi la kupanda miti Mkoa wa Kusini Unguja
JamhuriComments Off on Rais Samia akikata keki baada ya kuongoza zoezi la kupanda miti Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimlisha Keki Mwanafunzi wa Darasa la 7 wa Skuli ya Bungi, Abdulbasiti Issa mara baada ya kuongoza Zoezi la kupanda miti kwenye eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimlisha Keki Mwanafunzi wa Darasa la 6 wa Skuli ya Bungi, Raiyan Ridhiwani mara baada ya kuongoza Zoezi la kupanda miti kwenye eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata Keki mara baada ya kuongoza Zoezi la kupanda miti kwenye eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.