JamhuriComments Off on Israel yafanya mashambulizi mapya Beirut, Tehran
Israel imesema imeanzisha mashambulizi mapya ya anga dhidi ya Beirut na Tehran, na milipuko iliripotiwa katika ubalozi wa Marekani mjini Riyadh, Saudi Arabia, baada ya shambulio la droni la Iran.