Viongozi pamoja na wananchi mbalimbali wakishiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, inayofanyika Chato mkoani Geita, leo tarehe 17 Machi 2026.
Misa hiyo inaongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge – Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi






