Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Maji,  Mhandishi Mathew Kundo, bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda, bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2025.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tunduru, Hassan Zidadu Kungu, bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby,  bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziriwa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi, bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Paramagamba Kabudi (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masala ya Afrika ya Mashariki, Dennis Londo (wa pili kulia) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 6, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)