JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Meya Kibaha atoa siku saba kwa Rasbery Farm kudhibiti inzi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhueiMedia, Kibaha BAADHI ya wakazi wa Mtaa wa Madafu, Kata ya Visiga, Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani, wameilalamikia Rasbery Farm, kiwanda cha kufuga kuku, kwa kusababisha kero ya nzi wengi na kuhofia kuhatarisha afya zao na kuathiri…

Urusi : Droni za Ukraine zimeua 24 Kherson

Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilitaja tukio hilo kuwa “shambulio la kigaidi,” huku ikisema Rais Vladimir Putin amearifiwa. Mamlaka zilizowekwa na Urusi katika eneo la Kherson nchini Ukraine zimesema zaidi ya watu 24 wameuawa baada ya shambulio la…

Jengo la ghorofa 16 linaloendelea kujengwa laporomoka jijini Nairobi

Watu wawili wanahofiwa kukwama baada ya jengo la orofa 16 lililokuwa likijengwa kuporomoka katika eneo la South C jijini Nairobi. Operesheni ya uokoaji inayohusisha vitengo tofauti ikiwa ni pamoja na wanajeshi, polisi, huduma za dharura za kaunti ya Nairobi na…

Gabon yatimua timu nzima kufuatia matokeo mabaya ya AFCON

Waziri wa michezo wa Gabon ametangaza kupigwa marufuku kwa wachezaji wakongwe Pierre-Emerick Aubameyang na Bruno Ecuele Manga, kusimamishwa kwa timu nzima ya taifa, na kufutwa kazi kwa benchi la ukufunzi. Hii ni kufuatia matokeo mabaya ya Gabon katika Kombe la…