Author: Jamhuri
Halmashauri Meru yapitisha rasimu ya mpango wa bajeti ya bilioni 75.6/-
Na Happy Lazaro, JamhriMedia, Arusha Halmashauri ya Wilaya ya Meru mkoani Arusha imepitisha rasimu ya mpango wa bajeti ya zaidi ya shs 75.6 bilioni kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Akizungumza kwenye baraza maalumu la bajeti ,Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Lucas…
Tume ya Uchunguzi yakutana na Ole Sabaya
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, Leo Februari 24 imekutana na aliyewahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Mahojiano hayo ya Tume na Sabaya yamefanyika…
NMB inajenga kizazi kipya cha wataalam wa sekta ya fedha
Benki ya NMB imeendeleza jitihada zake za kujenga nguvu kazi yenye ujuzi na maarifa ya kisasa katika sekta ya fedha nchini kwa kusaidia mafunzo ya kitaaluma na kutalaamu kwa vijana 100 kupitia mpango maalumu wa mafunzo ya Graduate Banker Readiness…
TAMESOT yaendelea kuimarisha taaluma ya tiba asili nchini
Na Theophilida Felician, JamhuriMedia, Pwani Chama cha waganga wa tiba asili na tiba mbadala nchini TAMESOT kimeendelea kuwafikia waganga kikiwa na malengo mahususi ikiwemo ya kuwapa elimu ya kuwajengea uelewa na uwezo thabiti katika kutoa huduma ya tiba asili. Hayo…





