Author: Jamhuri
Watoa ushuhuda upasuaji ulivyosaidia kupungua uzito
….Mmoja apungua kutoka kilo 148 mpaka kilo 108 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam HOSPITALI ya Shifaa ya Kinondoni Dar es Salaam imewafanyia upasuaji wa kupunguza uzito ambao umekuwa wa wenye mafanikio kwa kutumia tundu dogo watu 20 waliokuwa…
IMF yaipongeza Tanzania kwa kuimarisha uchumi, yakubali kutoa zaidi ya dola milioni 375
Na Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Serikali ya Tanzania zimefikia makubaliano ya ngazi ya wataalamu kuhusu ukamilishaji wa tathmini za mwisho za Mpango wa Extended Credit Facility-(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu…
Tanzania yatoa somo kwa nchi za SADC kuhusu usimamizi wa maafa
Na Mwandishi Wetu, Zimbabwe Tanzania imeendelea kung’ara katika ukanda wa Kusini mwa Afrika baada ya kutajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa mifumo madhubuti ya usimamizi wa maafa, hatua inayozifanya nchi nyingine wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika…
TMA yaimarisha huduma za hali ya hewa, viwanja vya ndege Mpanda, Pemba vyanufaika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imeendelea kuimarisha utoaji na udhibiti wa huduma za hali ya hewa nchini kwa lengo la kuongeza usalama, ufanisi na maendeleo katika sekta mbalimbali, ikiwemo usafiri wa…
Mkuranga yajenga shule ya ghorofa Mwandege kupunguza msongamano wa wanafunzi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani HALMASHAURI ya Wilaya ya Mkuranga imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Msingi Mwandege kwa mfumo wa ghorofa tatu, hatua inayolenga kupunguza msongamano wa wanafunzi sambamba na kutekeleza sera ya matumizi bora ya…
JKCI na ALMC waandika historia Maadhimisho ya Wauguzi Duniani Arusha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) chini ya menejimenti ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wamekuwa wadhamini wakuu wa Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika jijini Arusha, yakihusisha shughuli mbalimbali za kijamii pamoja…





