Author: Jamhuri
Waziri Sangu akutana na mzee wa upako na mtume Malisa
-Aeleza umuhimu wa Mahusiano mema katika kuimarisha mshikamano wa Taifa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, leo Julai 4, 2026 Jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mchungaji Antony…
RC Manyara awataka Simanjiro kuchangamkia hewa ya ukaa
Na Mwandishi wetu, Simanjiro MKUU wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewataka madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Simanjiro kuchangamkia fursa ya miradi ya hewa ya ukaa ili jamii iweze kunufaika kwa maendeleo. RC Sendiga ameeleza hayo mji mdogo wa…
Serikali kutekeleza mradi wa umeme jua katika visiwa saba Musoma
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetenga shilingi milioni 273.6 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kusambaza umeme wa jua katika visiwa saba vya Wilaya ya Musoma ikiwemo Nyasaungu, Muroba, Kagongo, Nyamasanje, Rukuba na Iriga, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa…





