Author: Jamhuri
Poland yaonesha nia kushiriki ujenzi wa SGR
Na Benny Mwaipaja, Warsaw-Poland Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameishukuru Serikali ya Poland kupitia Shirika lake la Bima (KUKE), kwa kuonesha nia ya kudhamini upatikanaji wa fedha kwa ajili ya Ujenzi wa kipande cha 3 na…
Dk Biteko ataka wananchi wapewe majibu ya huduma kwa haraka na haki
* Aipongeza EWURA kwa taarifa yenye mchango muhimu kuimarisha sekta ya nishati Vyombo vya moto vinavyotumia gesi vyaongezeka kufikia 7,000 Mahitaji ya umeme kufikia megawati 8,055 mwaka 2035 Upatikanaji wa mafuta waendelea kuimarika nchini TANESCO yaendelea kuimarika na kupata faida Na…
Rais Samia aipa tano Simba kufuzu nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba SC kwa kufuzu Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa…
Simba yatinga nusu fainali
Timu ya Simba SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al Masry ya Misri jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Hiyo ilifuatia Simba kushinda…
RUWASA yasikia kilio cha wananchi Kwala, kero ya maji yabaki historia
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mradi wa maji wa Kwala,uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4 na kutekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) unakwenda kuwa mkombozi kuwaondolea changamoto ya ukosefu wa maji safi wakazi 6,407. Akizindua mradi…