JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Mkuu: Wakandarasi warejee site

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameelekeza wakandarasi waliokuwa wamesimamisha kazi katika miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara mkoani Mara kurejea maeneo ya kazi mara moja, huku Serikali ikiendelea kuwalipa ili kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati. Akizungumza na wananchi katika…

Serikali yaanza enzi mpya ya usafi wa mazingira kupitia mkakati wa huduma jumuishi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Katika hatua mpya ya kuimarisha uhifadhi wa mazingira na kujenga taifa lenye afya, Serikali imezindua Mkakati wa Huduma Jumuishi za Usafi wa Mazingira, ukilenga kuimarisha usimamizi wa taka, majitaka na huduma za usafi nchini ili…

Watanzania watakiwa kulinda amani

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema ulinzi nausalama wa Tanzania ni wajibu wa kila mwananchi, akisisitiza kuwa kilaMtanzania anatakiwa kushiriki katika kulinda amani, umoja wa kitaifana mali za umma…

Makusanyo ya kodi yaendane na kasi ya ukuajia uchumi – Waziri wa Fedha

Dar es Salaam Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Hassan Mussa Omar ameielekeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha inaongeza makusanyo ya kodi ili kuendana na hali ya ukuaji wa uchumi unaoendelea kushuhudiwa nchini. Amezungumza hayo wakati akitembelea banda la TRA…

Waziri Mkuu akagua daraja la mto Nyathorogo linalounganisha Rorya na Tarime

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekagua Daraja la Mto Nyathorogo lililopo katika Kijiji cha Nyathorogo, Kata ya Nyathorogo, wilayani Rorya, mkoani Mara, ambalo limejengwa kwa lengo la kuboresha huduma za usafiri na usafirishaji kati ya wilaya za Rorya na Tarime….

Tanzania, Marekani zasaini hati ya makubaliano za dola bilioni 3.14 kuimarisha sekta ya afya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Sekta ya Afya (MoU) ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, ikiwa na thamani ya zaidi ya…