JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Mkuu asisitiza ushirikiano wa kikanda kukabiliana na uhalifu wa kimataifa

▪︎ Asema mapambano dhidi ya uhalifu yanahitaji mshikamano wa kimataifa ▪︎ Aeleza teknolojia ni nyenzo muhimu katika kukabiliana na uhalifu wa kisasa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema ushirikiano wa kikanda na kimataifa ni sharti la mafanikio katika mapambano dhidi…

Waandishi wa Habari 3,357 watambuliwq na JAB

SERIKALI imeanza kuvuna matokeo ya mageuzi ya kidijitali katika sekta ya habari baada ya Waandishi wa Habari 3,357 kuthibitishwa na kupatiwa ithibati ndani ya kipindi cha chini ya mwaka mmoja kupitia mfumo wa kisasa wa TAI HABARI. Mafanikio hayo ni…

RC Tabora apiga marufuku ombaomba

Na Allan Ntana, JamhuriMedia, Tabora SERIKALI Mkoani Tabora imesema kuwa omba omba walio wengi wakiwemo wale wanaosukumwa kwenye vibaiskeli wana uwezo wa kufanya kazi zinazoweza kuwaingizia kipato na sio kukaa au kujipitisha mitaani wakiomba. Akihutubia Watumishi wa Umma na wa…

DC Mwanga atembelea kamati zilizoathiriwa na mvua

Na Mwandishi Wetu MKUU wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Bi. Rukia Zuberi, ametoa wito kwa wananchi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari na kufuata maelekezo ya viongozi pamoja na wataalamu ili kuepuka madhara yanayoweza kusababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani…

Tanzania, Rwanda kuimarisha ushirikiano nishati na miundombinu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Rwanda zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta za nishati na miundombinu kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki. Akizungumza jijini Dar…