Author: Jamhuri
Wapongeza mageuzi ya mfumo CRDB ikisherehekea Wiki ya Huduma kwa wateja
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya CRDB imezindua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika katika tawi la Dar Village jijini Dar es Salaam, ikiambatana na kaulimbiu ya kimataifa ya…
Sikoseli si mwisho wa ndoto ya ujauzito, unaweza kujifungua salama
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Ujauzito kwa mwanamke mwenye ugonjwa wa seli mundu (sikoseli) ni safari ya kipekee yenye changamoto kwa mama na mtoto, lakini si jambo lisilowezekana. Dkt. Jamila Makame, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Damu kutoka Hospitali ya…
Mgeja achanja mbuga kumuombea Dk Samia kura za ushindi wa kishindo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kahama MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga na Mwanasiasa Mkongwe, Khamis Mgeja amejitosa kumpigia kampeni mgombea urais wa chama hicho, Dk. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha anapata kura za ushindi wa…
Upepo wa Samia wazidi kuvuma kupitia mikutano yake ya kampeni
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema tangu kuanza kwa mikutano ya kampeni za Urais kupitia CCM kwa mgombea wake Dkt. Samia Suluhu Hassan, tayari zaidi…
Washindi wa Piku Afrika waeleza furaha yao baada ya kujinyakulia zawadi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WASHINDI wawili wa promosheni ya Piku Afrika, jukwaa la kidijitali linaloendesha minada ya kipekee mtandaoni, wameeleza furaha yao baada ya kujinyakulia zawadi mbalimbali zenye thamani kubwa kupitia mfumo huo wa mnada wa kidijitali….
Doyo: Ichagueni NLD, ilete mabadiliko Ruvuma, viwanda vilivyofungwa vitafunguliwa
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Msafara wa mgombea urais kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo, umewasili katika wilaya ya Tunduru, mkoa wa Ruvuma, ambapo umefanya mkutano mkubwa wa kampeni. Akihutubia wananchi wa Tunduru mjini katika…