Author: Jamhuri
Dk Mwigulu : Kuhudumia wenye mahitaji maalum ni wajibu wetu
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kushiriki kugharamia huduma kwa watu wenye ulemavu na watoto walio katika mazingira magumu, akisisitiza kuwa kuwahudumia ni wajibu wa Serikali na jamii. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo, Jumatatu, Oktoba 5, 2026, alipokuwa mgeni…
Waziri Akwilapo atoa rai maandalizi ya El Nino kulinda makazi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ametoa rai kwa mamlaka za miji, taasisi na wananchi kuanza kuchukua hatua za maandalizi dhidi ya athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za…
The Treasure Walking Among Us: A Tribute to My Mother, the 3Rs Teacher
Some people have a job. Some have a career. And then there are people who somehow turn their profession into a lifetime mission. My mother belongs to the third category. She has spent many years in the classroom teaching the…
Waandishi wa Oman watembelea UDSM, TBC wapongeza JOWUTA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam UJUMBE wa viongozi na wanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari kutoka nchini Oman (OJA), wametembelea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kujifunza na…
Mwinyi: Uislamu unahimiza upendo, amani na umoja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Uislamu unahimiza upendo, amani, umoja na mshikamano, misingi ambayo ni muhimu katika kujenga jamii yenye utulivu, maelewano na maendeleo. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo, tarehe…





