JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

DCEA yakamata mtandao wa uuzaji dawa za kulevya unaofuatiliwa duniani

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ya Tanzania (DCEA) imekatama kilogramu 3,182 za dawa za kulevya aina ya heroin na methamphetamine ambazo zilikuwa zimefungashwa kwenye vifungashio vya bidhaa zenye chapa za…

Krisimasi chungu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Ugumu wa maisha, kuporomoka kwa bei ya tanzanite, kupanda bei kwa bidhaa na huduma mbalimbali, simanzi wilayani Hanang na matukio ya kupotea kwa watu mkoani Geita ni baadhi ya mambo yaliyoigubika Sikukuu ya Krismasi mwaka 2023….

Naibu Waziri Pinda awaasa wananchi kuhusu matumizi bora ya ardhi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amewaasa Watanzania kuhakikisha wanakuwa na mipango bora ya matumizi ya ardhi kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo kwa kuwa ardhi iliyopo haiongezeki na…

Jiji la Dodoma kuendelea kusafisha makorongo kuzuia mafuriko

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Halmashauri ya Jiji la Dodoma itaendelea kuyafanyia usafi kwa kuondoa taka ngumu makorongo yote ili yaweze kupitisha maji vizuri na kuondoa kero ya mafuriko wakati mvua zinaponyesha. Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Kitengo cha…

Dk Mpango awaasa Watanzania kupinga ukatili kwa wanawake na watoto

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Mpango na Mkewe mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma katika Ibada ya Sikukuu ya Krismasi na…