Author: Jamhuri
Puuzeni upotoshaji unaofanyika mitandaoni kuhusu misaada Hanang – Matinyi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, amewataka wananchi kupuuza upotoshaji wa taarifa unaofanywa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya watu na vyombo vya habari visivyofuata maadili ya kazi kuhusu misaada inayotolewa kwa waathirika…
Tume ya Tehama wapikwa mifumo mipya ya upimaji utendaji kazi
Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia, Dar es Salaam WATUMISHI wa Tume ya Tehama nchini, wamepatiwa mafunzo juu ya mifumo mipya ya kielektroniki ya Upimaji Utendaji Kazi kwa Taasisi za Umma (PIPMIS) na Mfumo wa Upimaji Utendaji Kazi kwa Watumishi wa Umma…
Jeshi la Polisi kuchunguza tuhuma unyanyasaji raia
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema linachunguza tuhuma zinazoelekezwa dhidi ya vijana wake kudaiwa kukiuka taratibu za kukamata watuhumiwa wa makosa mbalimbali ikiwemo kuwapa vipigo na unyanyasaji wa kijinsia. Hatua hiyo imekuja kufuatia kuwepo kwa malalamiko…
Waziri Mazrui azungumzia hali ya malaria Zanzibar
Na Imani Mtuma, Maelezo, JamhuriMedia, Zanzibar Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui amewataka wananchi kuimarisha usafi katika maeneo yao ili kuondoa mazalia ya mbu wanaosababisha ugonjwa wa malaria. Akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini kwake Mnazimmoja Mjini Unguja…
Waandishi wa habari watakiwa kumsaidia Rais Samia
Waandishi wa habari wametakiwa kumsaidia Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano Tanzania Samia Suluhu Hasan juu ya fedha anazozitoa kwaajili ya miradi. Hayo ameyasema Mwenyekiti mstafu wa CCM Mkoa wa Mara Samweli Keboye alipokuwa akizungumza na waamdishi wa habari. Keboye…
Malalamiko ya wananchi kuonea na askari yafika makao makuu
Na Mwandishi Wetu- Jeshi la Polisi, Dar es Salaam Jeshi la Polisi nchini limesema limeona taarifa katika baadhi ya mitaandao ya kijamii ya kijamii zikionyesha taarifa za Wananchi ambao wanalalamika kufanyiwa vitendo ambavyo ni kinyume cha sheria na haki za…