Author: Jamhuri
Maofisa Sheria, Mawakili watakiwa kutekeleza majukumu yao kwa usawa na haki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Sheria na Mawakili wa Serikali nchini kutekeleza majukumu kwa kuzingatia weledi, usawa na uadilifu ili kuhakikisha wananchi wanapata haki bila kujali hali zao…
Wanawake sekta ya uvuvi Afrika watajwa kuwa na mchango mkubwa
Na Edward Kondela, JammhuriMedia, Dar es Salaam Imeelezwa kuwa wanawake wachakataji na wafanyabiashara wa mazao ya uvuvi barani Afrika wana mchango mkubwa katika Sekta ya Uvuvi, hususan katika uchatakaji na kilimo cha mwani. Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam na…
Trilioni 1.4 kutumika kukabiliana na magonjwa ya Malaria, Ukimwi na TB
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Tanzania imepokea jumla ya dola za kimarekani milioni 602 sawa na trilioni 1.4 za kitanzania kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa ya Malaria, Kifua Kikuu na UKIMWI katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia…
Zari, Dowei Care kutoa msaada Muhimbili
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya Dowei Care Technology ambao ni wazalishaji wa Taulo za kike na za watoto (SOFTCARE) wanatarajia kutoa msaada wa bidhaa zao katika Hospital ya Taifa ya Muhimbuli katika kitengo cha huduma za…
Bilioni 48.9 zatumika ujenzi jengo la DAWASA Yetu, kukamilika Juni
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imekagua na kufurahishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo jipya la DAWASA Yetu lililogharimu shilingi bilioni 48.9 na linatarajiwa kukamilika Juni mwaka huu….
Waziri Silaa awaahidi wakulima waliochukuliwa ardhi Monduli kupata neema
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewahakikishia wakulima na wafugaji zaidi ya 120 kutoka Kijiji cha Loksale Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha kuwa malalamiko yao ya kuchukuliwa ardhi ekari 47,000 na serikali…