JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kamati yapitisha makadirio ya Bajeti kwa DCEA , Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imepitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Ofisi ya Msajili…

Dk Mwinyi azindua fursa za uchimbaji mafuta na geai Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inapenda kuzialika kampuni zote za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi kushiriki katika Duru ya kwanza . Rais Dk.Mwinyi amewakikishia wawekezaji wote wa sekta ya…

Hifadhi ya Taifa Saadan yatakiwa kuwa na mpango mahususi wa maeneo ya uwekezaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Sadani Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii imeiagiza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Saadani kuandaa mpango mahususi wa kuainisha maeneo yote ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji na kuiongezea hifadhi hiyo mapato. Kauli hiyo…

DK Mpango kumwakilisha Rais katika mkutano wa dharura SADC Zambia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi mbili za Jumuiya…

TMX yapaisha mapato Kagera

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Mfumo wa Unununuzi wa Mazao kwa njia ya Mtandao unaoedeshwa na Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), umeongeza ushuru wa mapato mkoani Kagera kwa zaidi ya asilimia 200. Kwa misimu miwili Serikali kupitia Soko la Bidhaa…

Bil. 431 kutekeleza miradi ya barabara za kimkakati Kagera

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Serikali ya Awamu ya Sita imetoa kiasi cha Sh bilioni 431 kwa kipindi cha miaka mitatu kwa ajili ya kutekeleza miradi ya barabara za kimkakati, ili kuhakikisha Mkoa wa Kagera unaunganisha barabara zake na mikoa…