Author: Jamhuri
TRC yaokoa bilioni 12.9 kila mwaka, Bunge lapongeza
Bunge la Tanzania limeitaka Serikali kulinda na kuendeleza Mradi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) unaotekelezwa na Shirika la Reli Tanzania (TRC). Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile Februari 14, 2026 , wakati wa…
Ofisi ya Msajili wa Hazina yahitimisha semina ya siku tano kwa kamati za bunge
Na Mwandishi wa OMH Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) imehitimisha semina ya siku tano kwa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), iliyofanyika kuanzia Februari 9 hadi…
Waandishi wa habari Afrika wajengewa uwezo kuripoti mabadiliko ya tabianchi
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia – Arusha. Katika kipindi ambacho Tanzania na nchi nyingine za Afrika zinaendelea kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, Shirika lisilo la kiserikali la Media for Environment, Science, Health and Agriculture (MESHA) limetoa mafunzo kwa njia…
Chalamila arejesha fedha za aliyetalipwa kiwanja Wazo
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila,amelipa sh.mikioni tano kwa Glory Munisi ,aliyetapeliwa kiwanja kwa uzembe wa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa Kinondo kata ya Wazo. Chalamila amemuamuru Mwenyekiti wa Mtaa…
UN yataka Urusi kutoshambulia miundombinu ya nishati Ukraine
Umoja wa Mataifa umeitolea wito Urusi kuacha kushambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine, ambayo yamesababisha kukatika kwa umeme katikati ya kipindi cha baridi kali. Mkuu wa Shirika la Haki za Binaadamu la umoja huo Volker Turk amesema mashambulizi yasiyokoma yanayofanywa…





