JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania yang’ara ajenda ya maji kwa ustawi wa wote

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb), Waziri wa Maji amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) linalofanyika Bali nchini Indonesia…

Serikali: Teknolojia na ubunifu ni muhimu kuchagiza maendeleo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam SERIKALI imesema teknolojia na ubunifu ni muhimu katika kuchagiza maendeleo katika Taifa. Pia imesema itahakikisha inakuza sayansi, teknolojia na ubunifu nchini , kwalengo la kuchagiza maendeleo na kusaidia kufanyika kwa tafiti zinazojibu changamoto…

Tanzania yaunga mkono uamuzi wa SADC – Majaliwa

Ni kuhusu mbinu za uvunaji wa maji na udhibiti wa mafuriko WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania inaunga mkono uamuzi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) juu ya kuongeza mbinu za uvunaji wa maji, udhibiti wa mafuriko…

Harmonise kuzindua ‘ muziki wa Samia album Mei 25’ Dar

Na Magrethy Katengu,Jamuhuri Media Dar es Salaam Mwimbaji bongo fleva jina halisi Rajab Abdul hupendelea kujiita pia” Konde Boy” Staa Harmonize Mei 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam ambayo ameipa…

Balozi Nchimbi ataka maofisa utumishi kuacha uonevu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amewataka watumishi wanaosimamia utawala na rasilimali watu sehemu za kazi kuwatendea haki wafanyakazi wote kwa kujiepusha na vitendo vyovyote vya uonevu. Akizungumza kwenye…