Author: Jamhuri
Tanzania kushiriki Maonesho ya Biashara ya Kidunia Expo 2025 Japan
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Selemani Jafo,amesema Tanzania inatarajia kushiriki katika Maonesho ya Biashara ya Kidunia Expo 2025 yatakayofanyika Osaka nchini Japan. Dkt.Jafo ameyasema hayo leo Aprili 8,2025 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ushiriki wa Tanzania…
MSD yapeleka mashine za kisasa zenye teknolojia ya akili mnemba JKCI
Bohari ya Dawa (MSD) imenunua na kupeleka mashine za kisasa zenye teknolojia ya akili mnemba (Artificial Intelligence) kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ili kuiwezesha taasisi hiyo kutoa huduma za kisasa. Mashine hizo ambazo baadhi tayari…
Mwenge wa Uhuru wazindua boti ya doria na ukaguzi Bagamoyo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Mwenge wa Uhuru umezindua mradi wa boti ya doria na ukaguzi baharini katika soko la samaki, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, utakaodhibiti upotevu wa mapato yatokanayo na uvuvi, kuzuia uvuvi haramu na biashara za magendo zinazofanyika…
Mchengerwa : Kazi ya kuleta maendeleo Rufiji ni ibada si siasa
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa kazi ya kuleta maendeleo aliyofanya wilayani Rufiji ni sehemu ya ibada, siyo siasa. Alisema hakujielekeza katika mlengo…
Walioshindwa kurejesha mawasiliano Somanga kuchukuliwa hatua – Ulega
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesisitiza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wataalam kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) waliouhusika na uzembe wa kushindwa kurejesha kwa wakati mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es Salaam – Lindi eneo la Somanga Mtama mkoani…