Author: Jamhuri
Tanzania yazoa medali za riadha FEASSA 2025
OR-TAMISEMI, Kenya Tanzania imeendelea kung’ara katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Shule za Msingi na Sekondari Afrika Mashariki (FEASSA 2025) baada ya kufanya vizuri kwenye michezo ya riadha na kujinyakulia medali nyingi katika fainali zilizofanyika mjini Kakamega, Kenya. Mashindano…
Mwenyekiti CCM aongoza kikao cha uteuzi wa wagombea ubunge
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa…
Bodi ya ushauri TARURA yaipa heko Serikali ujenzi daraja la Mohoro
*TARURA kuendelea kuondoa vikwazo vya miundombinu *Wananchi waaswa kutunza miundombinu ya daraja Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rufiji Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Florian Kabaka ameishukuru Serikali kwa kuwezesha Wakala huo…
Misime:Waandishi wazingatie sheria na kanuni za uchaguzi
Na Pendo Nguka,JamhuriMedia Dar es Salaam Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini (DCP), David Misime ameeleza uhitaji wa mchango mkubwa wa waandishi wa habari hasa katika kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu kwa kuzingatia sheria na kanuni. Misime amesema hayo…
Arusha washuhudia maonyesho ya faida ya kupika kwa kutumia nishati safi
Wananchi kutoka vitongoji mbalimbali jijini Arusha walikusanyika kushuhudia maonyesho ya moja kwa moja kuhusu faida za kupika kwa kutumia umeme kama nishati safi na salama. Kampeni hii, inayoendeshwa na Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na UKAid na MECS, inalenga si…